years
of experience
professional
LAWYERS
in tanzania
Tanzania Paralegal’s Network (TAPANET) is a registered non-profitable organization.
Paralegal Networking
To increase the coordination and communication among Paralegals in Tanzania.
Paralegal Union
Is an umbrella organization with members from different regions of Tanzania mainland.
We have 10 years of experience and Customer satisfaction with :
LSF Members
Mrugenzi Mkuu wa Legal Services Facility (LSF) leo alitembelea ofisini TAPANET.Katika muendelezo wa kuadhimisha miaka 10 ya TAPANET,Mratibu wa Mtandao amemkabidhi tuzo maalum ya shukrani.
Katika muendelezo wa kuadhimisha miaka 10 ya TAPANET,Mratibu wa Mtandao amemkabidhi tuzo maalum ya shukrani.
TAPANET shall be a network of Paralegal organizations responsible for advocacy,
capacity building, and coordination through strengthening collaboration,
networking and experience sharing among paralegals in Tanzania.
Aug 2024
Wasaidizi wa sheria kutoka Kinondoni,wakitoa huduma ya msaada wa kisheria kwenye club za kupinga ukatili wa kijinsia.
@kinondoni_paralegal
#WASAIDIZI WA SHERIA OKOA JAMII #
Aug 2021
Wasaidizi wa kisheria kutoka Kilosa paralegal associations wakitoa Elimu ya Ardhi kwa kutenga maeneo ya malisho na makazi ya wafugaji katika mkutano wa kitongoji cha Godes kilichopo kata ya msowero.
Aug 2021
Wasaidizi wa kisheria kutoka Kilosa paralegal associations wakitoa Elimu ya Ardhi kwa kutenga maeneo ya malisho na makazi ya wafugaji katika mkutano wa kitongoji cha Godes kilichopo kata ya msowero.
March 2021
TAPANET tumepata fursa ya kutembelewa na Waziri wa Katiba na Sheria Pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria na Katiba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, baadae kwenda kutembea Wasaidizi wa sheria wa Morogoro (MPLC ) na kumalizia Hoteli ya Oasis kutoa mrejesho wa zoezi la Kutafsiri Sheria zote kwa kiswahili @lsftanzania
Aug 2021
Wasaidizi wa sheria wa Musoma manispaa wakitoa Elimu ya kisheria juu ya ukatili wa kijinsia kwa walimu na wanafunzi ,katika shule ya msingi Iringo.
Sep 2025
TAPANET ilifanikiwa kuhudhuria uzinduzi wa HAKI YANGU AI CHATBOT uliofanyika kakika Ofisi ya @lsftanzania na kujifunza Jinsi teknolojia hii itakavyosaidia jamii kupata haki kwa urahisi .
Hongera sana Legal service facility kwa kuendelea kutumia teknolojia kurahisisha upatikanaji kwa haki kwa wananchi.
Dec 2024
Wasaidizi wa kisheria,wakitoa msaada wa kisheria siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mama Samia Morogoro kwenye viwanja vya stendi ya Zamani.

